Hivi Ni kweli kuwa Kuna mtu asiye mfahamu mkali wa Rap Jay z?
Nchini Ufaransa, yupo jamaa alyeshangaa kwa nini watu waliduwaa kila alipopita rapper huyu.
Jay z na mkewe Beyoncé walikuwa wanaingua kwenye duka la mapambo la 'Frank Jewelry ' wakati jamaa alupomuuliza yeye Ni Nani. Alichokijibu Jay kipo hapa.
http://m.youtube.com/watch?v=Vdns1RMkc-U
No comments:
Post a Comment