Translate

Saturday, 11 October 2014

FAHAMU ANACHOKIFANYA JASON DERULO BAADA YA UHUSIANO WAKE NA JORDIN SPARKS KUVUNJIKA

Inaonekana kama Jason Derulo Yuko kwenye tour ya kutangaza kuvunjika kwa mahusiano yake na Jordin Sparks. Mahiri huyu wa miziki ya R n B alitengana na mchumba wake wa muda mrefu Jordin Sparks baada ya kulisaliti penzi Lao na mrembo mmoja kwa jina Wendy Williams.
Jason ambaye Sasa hivi yuko kwenye tour ya album yake, anaendelea kumwanika visivyo Jordin kwenye concert zake, redio n.k
Mtaalamu wa maswala ya mahusiano Dr. Chris Hart, anatueleza kuwa hii ni dalili mojawapo ya wawili hawa kurudiana.
Je unadhani Kuna uwezekano wa Jason na Jordan kuwa pamoja tena?

No comments:

Post a Comment